Wanasayansi kulipa pauni 3,500 kwa atakayejitolea kuambukizwa virusi vya corona ili wajaribu dawa

London. Wanasayansi nchini Uingereza wamesema wapo tayari kumlipa pauni 3,500 za nchi hiyo, mtu yeyote atakayejitolea kuambukizwa virusi vya ugonjwa wa corona, katika jaribio la kutafuta dawa na kinga dhidi ya ugonjwa huo hatari ambao umeua zaidi ya watu 2,000 duniani.

Instascoop

Njia rahisi ya kusoma/kupata habari zote tunazozipika kila siku ni.

INGIA
JISAJILI
Forgot password

Umesahau neno la siri?

Ingiza namba ya simu hapo chini uliyotumia wakati wa kuJISAJILI kurejesha.

Una akaunti? Ingia

Terms
Forgot password

Umesahau neno la siri?

Ingiza neno la siri jipya.
Badili

Una akaunti? Ingia

Terms