VIDEO Walichozungumza Maalim Seif Mbatia Na Lipumba Baada Ya Kukutana Na Magufuli

Wanasiasa wakongwe watatu wa vyama vya upinzani Tanzania akiwemo Maalim Seif, Profesa Ibrahimu Lipumba na James Mbatia wamekutana na kufanya mazungumzo na Rais John Magufuli, Ikulu ya Dar es Salaam ambapo baada ya mazungumzo hayo wameeleza kufurahishwa na mambo mbalimbali yanayofanywa na Serikali.

Instascoop

Njia rahisi ya kusoma/kupata habari zote tunazozipika kila siku ni.

INGIA
JISAJILI
Forgot password

Umesahau neno la siri?

Ingiza namba ya simu hapo chini uliyotumia wakati wa kuJISAJILI kurejesha.

Una akaunti? Ingia

Terms
Forgot password

Umesahau neno la siri?

Ingiza neno la siri jipya.
Badili

Una akaunti? Ingia

Terms