Ukimwi: Operesheni Detrick

Mwanzo wa janga la ugonjwa wa UKIMWI nchini Marekani katika miaka ya 1980 uliandamana na kampeni pana ya upotoshaji ya Wasovieti. Katika mwaka wa 1983, shirika la ujasusi la Muungano wa Kisovieti KGB lilisambaza uvumi kuwa Marekani imetengeneza Ukimwi katika kiwanda cha Fort Detrick kama silaha ya kibayolojia na kuifanyia majaribio kwa mahabusu, jamii wa walio wachache na mashoga. Pia KGB ilidai kuwa Marekani ilikuwa ikijiondolea lawama kwa kusema kuwa ugonjwa huo ulianzia barani Afrika.

Instascoop

Njia rahisi ya kusoma/kupata habari zote tunazozipika kila siku ni.

INGIA
JISAJILI
Forgot password

Umesahau neno la siri?

Ingiza namba ya simu hapo chini uliyotumia wakati wa kuJISAJILI kurejesha.

Una akaunti? Ingia

Terms
Forgot password

Umesahau neno la siri?

Ingiza neno la siri jipya.
Badili

Una akaunti? Ingia

Terms